Jenga biashara yako

Soko la usafirishaji wa abiria linakua. Uwezo wa kuweka oda ya usafiri mtandaoni imelifanya kuwa nafuu na programu inafanya kazi iwe rahisi zaidi. Kwa mujibu wa wataalamu, soko la huduma kwa njia ya simu za mkononi itakua mara dufu ifikapo 2030.

Maxim ni huduma ya kimataifa, inayofanya kazi katika miji zaidi ya 1000 duniani kote.

Anzisha biashara yako ukitumia masuluhisho ya TEHAMA yaliyoundwa tayari. Programu zetu zinafaa kwa mameneja wanaoanza na wenye uzoefu.

Pata maelezo zaidiPata ushauri bila malipo