Uwasilishaji Maxim
Kipato cha kila siku kwa tarishi
Wasilisha bidhaa, vyakula, na vifurushi
kwa mguu au kwa skuta, baiskeli, au gari.
Kazi rahisi inayolingana na ratiba yako.
JisajiliTumia programu ya Taxsee Driver:
Vigezo na masharti wazi
- Kusimamia vizuri vifurushi ni msingi wa kipato imara.
- Tarishi wapole, waliovaa vizuri mara nyingi hupata bakshishi.
- Utahitaji uwe na simu janja yenye mpango wa data ili upate pesa.
Hakuna umuhimu wa mahojiano
Fanya kazi katika ratiba inayoweza kubadilika
Tumia programu yetu ya kisasa zaidi
Kuwa wa kuwasiliana na watu
Mara zote uwahi
Fahamu mji